4.Ondoa dhamira potofu kwamba huwezi kuishi pasipo kunywa pombe. Kumbuka mwili wako umeumbwa kikamilifu kukabili hali zote za Maisha hivyo usihisi kuwa pombe ndio kichocheo chako kila unapotaka kufanya jambo Fulani.
5.Zingatia mlo kamili, na jifunze kula matunda kwa wingi.
6.Anza kufanya mazoezi na upange ratiba hii muda ambao ulikuwa ukitumia kunywa pombe.
7.Kumbuka mambo mabaya ambayo yalikutokea kutokana na pombe katika maisha yako. Hii itakusaidia kutothubutu tena kunywa pombe.
8.Ongeza unywaji wa maji jenga mazoea ya kunywa angalau glasi tano (5) za maji kwa siku.
9.Jenga mazingira ya kujizawadia kutokana na uamuzi wako mzuri wa kutokunywa pombe.
10.Washirikishe ndugu, jamaa na mrafiki wa karibu kuhusu uamuzi wako wa kuacha pombe na pia usijione mjinga kwa wale watakao kucheka.
EPUKA KUTUMIA MANENO HAYA UNAPOMFARIJI MTU ALIYEFIWA
1.Usijali, Utapata mtoto mwingine (unasahau kuwa kila mtu ana nafasi yake duniani)
2.Jifunze kusahau bwana, Mbona umepita muda mrefu toka atutoke
3.Tulimpenda ila Mungu Kampenda zaidi (Hili neno halizoeleki jamani, yaani unahalalisha kuondoka kwake)
4.Shukuru aliishi Maisha Marefu, wengi wanakufa mapema
5. Najua inavyouma, ila usijali utamsahau tu
No 1 inanihusu kabisa kucha zangu za mkono wa kulia kila siku zinabaki vibubutu
TUMIA MANENO HAYA
1.Pole sana, Nashindwa hata nitumie neno gani ili ujue nilivyoguswa na suala hili zito
2. Hatutomsahau Kamwe/ Pengo lake halitazibika
3.Mpe pole na Kumuahidi utakuwa nae kipindi chote hiki kigumu, akihitaji kitu utakuwepo kwa ajili yake
4.Mkumbatie bila kusema chochote
5.Kaa nae karibu tu na umpe mahitaji Muhimu, kumuomba ale nk.
...ha hahahaha, inabidi tulete kile chombo cha kunyanyua mizigo
EPUKA KUTUMIA MANENO HAYA UNAPOMFARIJI MTU ALIYEFIWA
1.Usijali, Utapata mtoto mwingine (unasahau kuwa kila mtu ana nafasi yake duniani)
2.Jifunze kusahau bwana, Mbona umepita muda mrefu toka atutoke
3.Tulimpenda ila Mungu Kampenda zaidi (Hili neno halizoeleki jamani, yaani unahalalisha kuondoka kwake)
4.Shukuru aliishi Maisha Marefu, wengi wanakufa mapema
5. Najua inavyouma, ila usijali utamsahau tu
YAJUE HAYA KABLA YA KUAMUA KUJICHORA TATTOO (Share Na Wenzako)
1.Hazifutiki milele, swali linakuja je, miaka kadhaa ijayo utaendelea kukipenda kitu ambacho umekipenda leo nakukichora? Mfano, unadhani unakipenda Ulichokuwaukikipenda kufanya miaka 10 iliyopita? Kazi
2.Ili kuweza kuzoea tattoo unashauriwa kuchora tattoo ya muda mfupi kabla hujaamua kuchora tattoo ile itakayobaki milele.
3.Huwezi kuchangia damu katika baadhi ya mataifa. Ni vema kujua sheria za nchi yako kwanza kabla ya kufanya uamuzi huo.
4.Usikurupuke kuchora tattoo, kuwa na wazo la aina ya tattoo ya kitu unachokihitaji sio tu kwa kuwa uliiona kwa mtu Fulani.
5.Huharibu muonekano wako katika jamii kwani kuna badhi ya sehemu unaweza usishirikishwe kwa kuonekana hufai katika jamii ile (hasa jamii za Kifrika)
Duh wala kucha nawahurumia sana maana mnakula mpaka kufikia ngozi daah
TUMIA MANENO HAYA
1.Pole sana, Nashindwa hata nitumie neno gani ili ujue nilivyoguswa na suala hili zito
2. Hatutomsahau Kamwe/ Pengo lake halitazibika
3.Mpe pole na Kumuahidi utakuwa nae kipindi chote hiki kigumu, akihitaji kitu utakuwepo kwa ajili yake
4.Mkumbatie bila kusema chochote
5.Kaa nae karibu tu na umpe mahitaji Muhimu, kumuomba ale nk.
Hahhahah
Yaan halafu kingozi nacho unakivuta kabisa unasikia maumivu lakini huachi mpaka unatoka damu
...anko wangu sasa Lyon Lee tulienda kumfariji mchepuko wake mmoja Yombo Buza aliyosema hata chakula hatukupewa, tuliishia kupewa maji tu tena kwenye vikombe vile wanavyonyweaga uji watoto wa chekechea.
Eti alisema, namnukuu. Pole sana ..nanihii (akataja jina) msiba ulioupata wewe sio wa kwanza kuupata, tena nafurahi mmemzika marehemu kwenye kaburi zuri sana, hizo hela bora hata mngetunza mkaandaa sherehe ya kumuaga marehemu. Oh, usilie sana maana makaburi hayajajaa hata kidogo." mwisho wa kumnukuu mjomba wangu.
Mimi ilibidi nizibe maskio sikuongea kitu hadi tulipochukua uber kurudi makwetu.
Hili somo linamfaa sana anko. Asante sana mdau

Uwiii jamani,siwezi na saiv nazifuga nataka zifikie kucha za ben ten wako(ushawahi ziona?) ila sasa kufua adui wa ufugaji wa kucha
Hahhahah
Simba mnyama wouzeeerr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Duh wala kucha nawahurumia sana maana mnakula mpaka kufikia ngozi daah
Hahhaha sijawahi ziona anakucha ndefu sana mkono wa kushoto nafuga halafu eti kutafuna siwezi kabisa nashindwa kujielewa ila wa kulia ndio nazitafuna mpaka kingozi
...tena wengine huwa wanaweka hadi na chumvi kuongeza ladha? acha tu mazoea ni addiction ya aina yake. mmoja alikuwa anakula kucha hadi akapata maguugu (ukoma)
Ee picha zimejaa tele kule likes. Ukija kule ukaomba picha utarushiwa fasta.
[emoji125][emoji125]napita tu nisije suntwa na bae wa uzi wetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mipira ya bongo naishabikia juu juu tu wala sifatilii mechi zao michosho tupu