Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Alipo Ronaldo nipo mmRais wa Real Madrid Florentino Perez anaamini mshambuliaji wa Ureno Cristiano Ronaldo, 33, siku moja atarudi katika klabu hiyo. Ronaldo alijiunga na Juventus mwezi Julai baada ya miaka tisa huko Bernabeu. (ESPN)
