Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Mcheshi nguli Bill Cosby raia wa Marekani amehukumiwa kifungo cha kati ya miaka 3 - 10 gerezani.
Cosby ameshtakiwa kwa dhuluma za kimapenzi dhidi ya bi Andrea Constand mfanyikazi wa chuo kikuu kimoja nchini Marekani.
Kosa hilo yamkini lilifanyika mwaka wa 2004. Bi Andrea aliishawishi mahakama kuwa Cosby alimpa dawa aina ya Quaaludes ambayo ilimlegeza na hakuweza kumzuia kumbaka mwaka wa 2004.