Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
Habari za humu ndani
Muzee ya ugimbi karibuHabari za humu ndani
Its Furahi day!View attachment 873755
Cha chini banakipi sasa!?
Shikamoo binamu yangu...mwenyejei eeeh, umeshalijua na jina la anko wangu?
Aweke pcha na mm nataka kumjua T jamani
Wewe si umshamjua shululu tayari? Ama unataka kupigwa cable mpya?
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
TUOMBE:Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa Majeshi Asante kutuamsha salama leo Jumamosi Tarehe 22 Septemba 2018..Asante kuwa nasi usiku kucha wako wengi walitamani kuiona leo hawajaweza.Tunaomba toba kwa yote tuliyooenda kinyume na mapenzi yako kwa mawazo maneno na matendo uturehemu twakusihi.Tuongoze siku ya leo na milele tuishi maisha ya kukupendeza..imarisha imani zetu tupe uvumilivu wa kimapendo tuwaone wenzetu wanaotuzunguka wameumbwa kwa mfano wako tuwapende,tuwaheshimu,tuwavumilie na tuwasaidie na kuwarudisha kwako pale ambapo wanahitaji msaada.tunaomba ushiriki wako katika ratiba zetu siku ya leo popote tutakapokuwa uwepo na utuongoze....tunza vinywa vyetu Baba vitumike vema ili tusiwe makwazo kwa wengine na kujiona bora kuliko wengine.
Tunaomba imarisha afya zetu,ponya wagonjwa.Fariji wafiwa wajane,wagane,yatima endelea kuwa Baba yao.
Wasaidie watoto wetu na wajukuu zetu wakujue na waishi maisha ya kukupendeza.Asante kwa ajili ya wote mahali hapa endelea kuwatumia katika viwango vyako Baba.wasafiri waende na kurudi salama majini,nchi kavu ,angani na epusha ajali zote nazifunga katika jina la Yesu Kristo.
Asante Baba maana utatenda sawa na mapenzi yako ni katika jina la Yesu Kristo Amen.
JUMAMOSI NJEMA NA USHINDI DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE![]()
Sema bhanaa! Tukachafue ukuta..
MfyuuuuuuMweeee kumbe ndo dhamira yke hyo![]()
![]()
![]()
Wacha kujitoa akili...
Si ndio yale mama D anataka nimlipie
Nawamisije jamani
Et uyole![]()
![]()
![]()