eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Sisi tulioamshwa wazima tumshukuru Mungu maana pamoja na kuamshwa hakuna ajuaye nini kitatokea dakika moja baadae
Thanks God for another day
Thanks God for another day
SalamaMakapuku forum habari ya asubuhi
Nzuriii ...kwemaMakapuku forum habari ya asubuhi
Na mm ntavaa nyanya pensi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pensi watavaaa kina lee na mjomba akee obe.[emoji41]
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Nataka kumfahamu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe si umshamjua shululu tayari? Ama unataka kupigwa cable mpya? [emoji52]
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] AmeniSifa na utukufu kwa atoae pumzi
Jumamosi tulivu yenye maombolezo
Rest in peace kwa wote waliopoteza maisha ndani ya MV Nyerere
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu
Mbunge na DC walipiga sana kelele kwa kile kivuko lakini ziliishia kutolewa ahadi tu bila utekelezaji
Aaah! Wee Sema tuu kama una hamu na cable[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka kumfahamu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Njema za ww EddyMakapuku forum habari ya asubuhi
ShikamooSalama
Mambo ya obe na lee siku ya Get together kinondoni.Na mm ntavaa nyanya pensi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaah! Wee Sema tuu kama una hamu na cable[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema bhanaa! Tukachafue ukuta..Hapana mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana sitaki Shululu anitoshaSema bhanaa! Tukachafue ukuta..
Ndio utulie sasa! Wewe umekirukia mambo kumbe mwenzako anataka kupigwa cable..? [emoji38][emoji38][emoji38]Hapana sitaki Shululu anitosha
MarahabaaaShikamoo
Mweeee kumbe ndo dhamira yke hyo[emoji134] [emoji134] [emoji134]Ndio utulie sasa! Wewe umekirukia mambo kumbe mwenzako anataka kupigwa cable..? [emoji38][emoji38][emoji38]
Hapana bhanaa.!Mweeee kumbe ndo dhamira yke hyo[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Wengine wako wapi kwanHapana bhanaa.!
Natania tuu [emoji23][emoji23]