Kucha: Unashauriwa kuchenga kucha zako za miguu vyema ili kuzuia majeraha ambayo yaweza tokana na mkwaruzo wa kucha ndefu. Chenga kucha zako kwa mwendo usiojipinda.
·Mafuta: Paka krimu au losheni kisha uvalie soksi kabla ya kulala ili kuhakikisha kuwa sehemu hii inasalia nyepesi.
TupooiiiNaona watu mmekufwa
Ji bora kwa sababu ni cheapAcha niumwe tu ninavyopenda nyama mmView attachment 873204
Hahahahahahahahhah wasukuma kwa hiyo unawaambiajeeWanaume wapenda ugali kazi kwenuView attachment 873207
Siooo kweliiiNaona ijumaa hii watu mmeshatekana jamani leo nimekuwa mlinzi wa jukwaa
Ndo uzipunguzeee zakooAsanteeeee
Niko makiniRANGI ZA MKOJO NA MAANA ZAKE
Mkojo unakuwa na rangi mbali mbali.Ni wazi kuwa kila rangi inaashiria kitu Fulani katika miili yetu.
Katika picha hii ina rangi mbali mbali za mkojo na chini ni maana ya kila rangi.
Niko makini
Siooo kweliii
Naona mmoja mmoja ndio anaibuka sasaTupooiii
Hahahahahahahahhah wasukuma kwa hiyo unawaambiajee
HahhahahNdo uzipunguzeee zakoo
1.HAKUNA RANGI/ANGAVU
Unakunywa maji mengi sana
2.RANGI YA MAJANI MAKAVU YA NGANO
Uko sawa kiafya
3.NJANO ANGAVU
Uko sawa kiafya
4.NJANO ILIYOKOZA WEUSI
Uko sawa lakini jitahidi kunywa maji ya kutosha.
5.RANGI YA ASALI
Mwili wako haupati maji ya kutosha
6.KAHAWIA ILIYOKOZA WEUSI
Uenda una tatizo la ini
Uenda hunywi maji ya kutosha.Jitahidi kunywa maji ya kutosha sasa na endapo itaendelea mwone Daktari
9.KIJANI AU BLUU
Kuna matatizo ya kimaumbile yanayoweza kupelekea hali hii.Pia kuna aina ya bakteria wanaoathiri mfumo wa mkojo na kupelekea hali hii.Inawezekana pia kutokea kwa sababu ya dawa au rangi ya chakula ulichokula.Mwone daktari
10.ZAMBARAU
Hii ni nadra sana kutokea.ila vyema umwone daktari mapema ufanyiwe vipimo
11.MKOJO UNATOA POVU
Hii haina madhara inaweza kutokana na Protini nyingi kwenye mlo. Inaweza kuwa matatizo kwenye Figo.Inapozidi mwone daktari
VISABABISHI VYA NJE
Vitu unavyokula vinaweza kusababisha mabadiliko kwenye mkojo.Pia matumizi ya dawa yanaweza kupelekea rangi au kiwango na harufu ya mkojo kubadilika.