Nah haimaanishi sitakuwa natoa bila kuombwa, ila labda sijaelewa mnaposema natakiwa nisiombwe nitoe tu ina maana kila siku/wiki/mwezi natoa tu hela!?. Mara moja moja kumpa as kanunue vitu vyako or kaspend ni kawaida but najisikia vizuri nikinunua kitu kumpa. Ila hela nataka aniombe mwenyewe.Ebu acha ubahili wako wick mwanaume unatakiwa ucheze nafasi yako mwanamke awe na kazi au asiwe na kazi sio mpaka uombwe
Mm jamani kama unasubiria nikuombe utasubiri mpaka Yesu arudi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuomba siwezi mm na ujanja wako wote kama hunipi ndio ushajipatia mbebeza wa kumkula bila hata kumuhudumia siku moja moja
Acha nilale jamani
Wewe utanijaza bana kama vipi niwe na uhakika unakuja nitumie hela kabisaSemaa ukweliiiii nikupitieeeeeeee nikupelekeee ngarenarooo oooooh ooh mama ...[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nipo nakula nikipendachoooo hapa
Hizo kucha hadi nimepiga chafya loooh
Silias kesho niko free na nipo mjini rasmi sema ulipo now nikupigie kengereeeWewe utanijaza bana kama vipi niwe na uhakila unakuja nitumie hela kabisa
Kuna chimbo hilo naendaga kula mishkaki mishkaki ya nundu mmoja elf 1500 acha kabisa mitamu
Fidodido[emoji23]
Hapo sasa tupo pamoja wick mm nazungumzia hiyo ya mara moja kumpa ndio point yanguNah haimaanishi sitakuwa natoa bila kuombwa, ila labda sijaelewa mnaposema natakiwa nisiombwe nitoe tu ina maana kila siku/wiki/mwezi natoa tu hela!?. Mara moja moja kumpa as kanunue vitu vyako or kaspend ni kawaida but najisikia vizuri nikinunua kitu kumpa. Ila hela nataka aniombe mwenyewe.
Hapo najua kweli ana shida mpaka kaniomba!. Ubahili navyoona ni kumwambia sina kila akiomba sio kutompa kama hajaniomba!
Abeeh baba anguShunie [emoji849][emoji849][emoji849]
Daaaaah kuna ile ya pale fish fish itanifirisiiiiiWewe utanijaza bana kama vipi niwe na uhakila unakuja nitumie hela kabisa
Kuna chimbo hilo naendaga kula mishkaki mishkaki ya nundu mmoja elf 1500 acha kabisa mitamu
Nipo serious chimbo lipo mitaa ya hospital acha kabisa tunakaaga na kina mzigua na raynaveroSilias kesho niko free na nipo mjini rasmi sema ulipo now nikupigie kengereee
Bwana uko utaenda mwenyeweDaaaaah kuna ile ya pale fish fish itanifirisiiiii
Alafu kuna chimbo la ndani kile kitu wanakianda hadi raha
Nishapajuaaaa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nipo serious chimbo lipo mitaa ya hospital acha kabisa tunakaaga na kina mzigua na raynavero
Kujaaaa wozap unipeee ratibaBwana uko utaenda mwenyewe
Alostooo inatuua [emoji36][emoji36][emoji36]Abeeh baba angu
Hongera usiku huu mm sitoki nimeshapanda kitandaniNishapajuaaaa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwa sasa njooo hapa hongera ...bili kwa anko
Hahahahahah zama za aibu unaongeleaaaHongera usiku huu mm sitoki nimeshapanda kitandani
Kwani mbona siku hizi umekuwa popo ww si haunywagi au
Kwani ile no ipo whatsappKujaaaa wozap unipeee ratiba
Najua baba angu nivumilieni tu mwenyewe sipendi tatizo nimewahi kuileta kabla haijaisha kidogo tu nivumilieniAlostooo inatuua [emoji36][emoji36][emoji36]
YaaapKwani ile no ipo whatsapp
EeenhHahahahahah zama za aibu unaongeleaaa