Hahahaha sawa bwanaEeh hamna me mjasiriamali tu, umekalili vibaya Shem
Siwezi kuiba siwezi kuomba kama huwezi nipa hela wewe mwenyewe basi mwanaume unatakiwa ujue wajibu wako kwa mpenzi wako au mkeo unatakiwa umpe pesa sio mpaka uombwe wengine hatuwezi kuomba kabisasasa kwanini unaniita bahili kama kuiba hupendi!?..
Lala unono mremboUsiku mwema wapendwa kesho nayo ni siku
Patamuu hapo...sisi tukiomb mnadaii waume wa dashalamuSiwezi kuiba siwezi kuomba kama huwezi nipa hela wewe mwenyewe basi mwanaume unatakiwa ujue wajibu wako kwa mpenzi wako au mkeo unatakiwa umpe pesa sio mpaka uombwe wengine hatuwezi kuomba kabisa
Ila si inategemea na status ya mtu!?.. Akiwa wa nyumbani kweli hautakiwi ombwa ila kama ni mtoto wa mjini n' anajiweza basi hakuna haja ya kujiongeza hela bila ombwa!.. Vya kujiongeza zawadi.Siwezi kuiba siwezi kuomba kama huwezi nipa hela wewe mwenyewe basi mwanaume unatakiwa ujue wajibu wako kwa mpenzi wako au mkeo unatakiwa umpe pesa sio mpaka uombwe wengine hatuwezi kuomba kabisa
me bebe zinazojielewa siwezi jiongeza toa hela!.. akiwa na shida aniombe mwenyewe sababu najua shes a fighter ataniomba atakapo shindwa!.Patamuu hapo...sisi tukiomb mnadaii waume wa dashalamu
Mwanaume unaombaje yaani sijakuelewaPatamuu hapo...sisi tukiomb mnadaii waume wa dashalamu
Mm nmemanishaaa mbunnye kuomba sijui nmeandika nnMwanaume unaombaje yaani sijakuelewa
Wewe Mwenyeji Wa wapi?Swali gani tena jamani
Ila si inategemea na status ya mtu!?.. Akiwa wa nyumbani kweli hautakiwi ombwa ila kama ni mtoto wa mjini n' anajiweza basi hakuna haja ya kujiongeza hela bila ombwa!.. Vya kujiongeza zawadi.
Ebu acha ubahili wako wick mwanaume unatakiwa ucheze nafasi yako mwanamke awe na kazi au asiwe na kazi sio mpaka uombweme bebe zinazojielewa siwezi jiongeza toa hela!.. akiwa na shida aniombe mwenyewe sababu najua shes a fighter ataniomba atakapo shindwa!.
Ila vitoto vya chuo au hawa home grown ndio najiongeza as vinaogopa maybe
Tanga rahaaaWewe Mwenyeji Wa wapi?
Mm nmemanishaaa mbunnye kuomba sijui nmeandika nn
Semaa ukweliiiii nikupitieeeeeeee nikupelekeee ngarenarooo oooooh ooh mama ...nyege haina mwenyewe sio mwanamke sio mwanaume anayejisikia atamwambia mwenzake
Kesho na hamu ya kulewa mm jamani nataka kulewaaaaa nataka kulewaaaaa.