EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Umeonewa zaidi ya mara ngapi?Yeah! Wamezidi kunionea sana..
![]()
![]()
![]()
Umeonewa zaidi ya mara ngapi?Yeah! Wamezidi kunionea sana..
![]()
![]()
![]()
ID yako nyingne ndo ip hyo.?Ni hii moja tuu ndo mana ikanibidi nije na hii Id ya tofauti
Kisa nilimjibu mkongwe mmoja nikisema "nimekuelewa mrembo"Kwani nini chanzo cha wewe kupewa BAN??
Kisa nilimjibu mkongwe mmoja nikisema "nimekuelewa mrembo"Kwani nini chanzo cha wewe kupewa BAN??
Tokea huu mwaka uanze hii ni Ban ya pili sasa..Umeonewa zaidi ya mara ngapi?
youngblood yuk wap.pamoja mkuu...
Hahahaa hizi kitu ukisema unakimbizana nazo huwezi kuzimaliza!!!....labda zikumalize mkuuhaifilisi duka...

Moja ya sababu ya kupigwa ban ni nini?Tokea huu mwaka uanze hii ni Ban ya pili sasa..
Na ukijumlisha na miaka iliyopita ndo inaweza ikafika hata 7
Kisa nilimjibu mkongwe mmoja nikisema "nimekuelewa mrembo"
Sasa hicho tu ndo kikapelekewa kupigwa Ban

Sio kweli.Nahisi maxence melo atakuwa anatumia Id tofaut tofaut humu jamvia hvyo ukikutana naye na hvyo humjui kuwa ni yeye ukaanza kubishana naye basi unakula Ban la hatari...
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Just a kidding
Pamoja sana mkuu...ila na wewe tupia like za kutosha.Naona Mussolin5 umeamua kunitunuku likes za kutosha sasa nna likes 100 tu na hii account nmeanza kuitumia muda mchache uliopita.
Asanteni kwa wote mlioninyanyua kuanzia like 0---100
Ila inapoteza mda.Fahari ya macho mkuu![]()
Yani hapa nna quote then ninagonga likesPamoja sana mkuu...ila na wewe tupia like za kutosha.
Pamoja sana Mkuu.Naona Mussolin5 umeamua kunitunuku likes za kutosha sasa nna likes 100 tu na hii account nmeanza kuitumia muda mchache uliopita.
Asanteni kwa wote mlioninyanyua kuanzia like 0---100