xavia jr
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 916
- 1,905
Amani kwk boss
Amani kwk boss
unakula kwa akili 2 boss.Hahahaa hizi kitu ukisema unakimbizana nazo huwezi kuzimaliza!!!....labda zikumalize mkuu![]()
hakika...Hahahaa hizi kitu ukisema unakimbizana nazo huwezi kuzimaliza!!!....labda zikumalize mkuu![]()
....no hurry in Africa....Ila inapoteza mda.

Nasikia amejinyonga baada ya kusikia Nahrene ameolewa na mtoto wa kigogo flani hv...youngblood yuk wap.
Yeah nipo johnaxNaona uwepo wako lizziebettie kwenye likes
hahaha..cha muhimu ni likeYani hapa nna quote then ninagonga likes
Tunakomaa mpaka kielewekePamoja sana Mkuu.
Hee! Ni hilo tu?Kisa nilimjibu mkongwe mmoja nikisema "nimekuelewa mrembo"
Sasa hicho tu ndo kikapelekewa kupigwa Ban
Ni kweli kabisa.Tunakomaa mpaka kieleweke
They call it Africa...We call it HOME.....no hurry in Africa....![]()
hahaha hahaha kumbe mzoefu.Tokea huu mwaka uanze hii ni Ban ya pili sasa..
Na ukijumlisha na miaka iliyopita ndo inaweza ikafika hata 7