xavia jr
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 916
- 1,905
na mods.?Hali yangu ni mbayaa coz nmepigwa Ban
na mods.?Hali yangu ni mbayaa coz nmepigwa Ban
Mbona bado mapema!!huu ni muda wa muafaka soooon tunamaliza kujenga nchi i want to go home now.
swissme
boss niaje.?Nambie Mkuu.
Wacha weee....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yaan nmecheka mpaka kwenye daladala wamenisamehe nauli
Safi kaka, nambie.boss niaje.?
Ni mzma wa afya sana, sijui shem wangu naye?ni poah xhemej ajmb
itakuwa poa sanaHahaha ngoja ntume audio mnickie labda
hakika...Utengano ni udhaifu.
naskia umekula ban nyingine...Hali yangu ni mbayaa coz nmepigwa Ban
Pamoja sana kaka.hakika...
Ageuke

Sasa hapo kina shida gani mkuu?Badilisha wewe, ndo maana unapigwa BAN.
![]()
![]()
![]()

Hahahaaa... Ni kweli kabisa maana hakuna namna nyingine ya ushahidi.weka picha tuone...hahaha
mia miaPamoja sana kaka.
umeona eeh!!Hahahaaa... Ni kweli kabisa maana hakuna namna nyingine ya ushahidi.
Usijali kaka, tuko pamoja.hahaha...basi itakuwa njema sana
Mkuu...Ageuke![]()
Ungeweka picha ingefaa sana hahaaa...Hahaha ngoja ntume audio mnickie labda