mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,477
Nimepita Tu kuwasalimia Tutaonana Tena
ntakuita mimi tu..Jamani mm sio bibi ili jina linaweza kukua
Marahabaaa!Shikamoo dingimtoto
Ukimkunja akikauka samakiHmm Wewe anaanzaje kuvunjika
lazima avunjikeuende wapi!?..Nitumieni nauli
Taratibu siwezi kuvunja kama ataumia nitaachaUkimkunja akikauka samaki![]()
![]()
![]()
lazima avunjike
Hamna hizo ni fikra tu za watu, mimi hata kupigana na mwanaume mwenzangu sijawahi na nilisha funzwa mwiko kampiga mwanamke
Hayo manini tena au machuma ya kunyanyua ya mazoeziSijwahi hata siku1 Huyo apo ndie mbebez wanguView attachment 867446
Hongera mkuuHamna hizo ni fikra tu za watu, mimi hata kupigana na mwanaume mwenzangu sijawahi na nilisha funzwa mwiko kampiga mwanamke
Hamna hizo ni fikra tu za watu, mimi hata kupigana na mwanaume mwenzangu sijawahi na nilisha funzwa mwiko kampiga mwanamke
Sijaielewa hii kamanda ebu nidadavulie
Nimepita Tu kuwasalimia Tutaonana Tena
Hutaki ukubwa.. na me sipendi vitoto!..bora niitwe toto bibi sitaki mm

ntakuita mimi tu..
Sio machuma zinaitwa dumpbellsHayo manini tena au machuma ya kunyanyua ya mazoezi




mm kubwa lakini sijafikia kwenye ubibi jamani
Hutaki ukubwa.. na me sipendi vitoto!..![]()
Mwanaume anaemfokea mwanamke anahitaji kazwa nati.Sijaielewa hii kamanda ebu nidadavulie
Yeah kimsingi ni maalum kwa mazoeziHayo manini tena au machuma ya kunyanyua ya mazoezi