Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Sasa kwa nn upo single
Hmm ila ...... Kweli kabisa,
Hmm ila ...... Kweli kabisa,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Kwahiyo wamerudisha kama wamerudisha nitumie kidogo
Hahaha!! Ila bora awe kimoja anaweza kuliko kila idara 0%Namuonea huruma sana atapata tabu
Mm nahusika nn hapo[emoji23] [emoji23]Asante shem wangu nimefurahi kukuona ujumbe wako napata sana ubarikiwe mnoo jamani
Daah!hayo mambo me yamenishinda kudekeza mtu sijuiHahhaha nawaza tu mkewe atakavyokuwa anadeka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
Asipojua kupika kitandani na mengineyo anaweza kuwa vizuriHahaha!! Ila bora awe kimoja anaweza kuliko kila idara 0%
Mm nahusika nn hapo[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sipati picha gubu la baba
Daah!hayo mambo me yamenishinda kudekeza mtu sijui
[emoji120] [emoji120] [emoji39] [emoji39] kunani hukoKaribu Mezani
Nimepumzika kwanzaSasa kwa nn upo single
Siwezi kuacha kushabikia man u mm
Nipo shemeji, za wewe!?..Shemejiii bahili upo
Hilo halipingiki atapikiwa chochoteKuhusu kumpikia akiwa anaumwa lazima utampikia we ni kabila gani eti
[emoji23][emoji23] ila kuita bibi kumbe kuna rahaa!!..[emoji23][emoji23][emoji23] mxxieew zako huna bibi uko kwenu nitakusimulia tukiwa kitandani mjukuu wangu
Basi utampikia maana ukimkunja akikauka atavunjika[emoji23] [emoji23]Wahenga walisema
Samaki mkunje angali mbichi
Hii methali ina maana sana ujue
[emoji120] [emoji120] [emoji39] [emoji39] kunani huko