Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
[emoji23] Sawa anko nimekuelewa Obe kuanzia ijumaa mpaka jumapili hapokei shikamoo ni hi au hellow
Aaaah, sikukataa bwana.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Salamu hiyo huwa inawafanya watu waogope na wasiwe huru kwenye kuzungumza bwana. Ndiyo maana humu ndani mara chache sanaaa