Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwahiyo unabisha kujuana na mtu au watu nje ya jf na kugonga moja moto moja baridi tugange yajayo mtu chake tuliokuwepo humu jf ndio sisi wa mtaani kujuana na mtu sio big deal ni kawaida tu


...sure, utashangaa mimi ndo yule yule unayesemaga nina kitambi cha mataputapu wakati tunakunywa bia pale kwenye makuti.
 
Mwanaume wa wapi huyu wenzake wakiona wamezidiwa kutekwa wanatoroka wanaenda kwa wengine


...aliyeniteka ni mlokole na anasema kabisa bila kuficha nikienda kwa wengine ananiroga.

Je unapenda mimi nirogwe? Nilidhani unanipendaga jameni kumbe hunitakii mema
 
Naombaa umchambe kwa hisani ya watu wa marekani
when-my-dad-asks-if-ive-seen-a-madea-chrismtas-81284.gif
 
TUOMBE:

Mtakatifu,Mtakatifu,Mtakatifu ..Bwana Mungu wa Majeshi Asante kwa siku ya leo.

Tunaomba Toba Baba kwa makosa yote uturehemu Ee Baba.
Tunawasamehe wote waliotukosea.
Tusaidie tuzidi kukupenda,kukuheshimu na kukutumikia.

Asante kwa ajili ya watoto wako wa kike na kiume,Asante kwa ajili ya uponyaji wa Mwili na Roho...Tunalihimidi jina lako Takatifu na Sifa,heshima,Shukurani ni kwako Ee Baba Mungu mkuu
Endelea kutupigania Mfalme wa Amani maana tunakutegemea wewe tu.

Endelea kutuponya,kutufariji,kutubariki katika kila eneo.Hesabu hatua zetu na vinywa vyetu vijazwe sifa zako daima.
Bariki kuingia na kutoka kwetu Damu yako Takatifu Yesu Kristo inene mema.

Roho Mtakatifu kaa nasi tufundishe katika kila hatua.Asante Baba
Wasaidie watoto na wajukuu walioanza mitihani leo wakumbushe wasaidie wawe washindi.Asante maana utatenda sawa na mapenzi yako naomba nikiamini katika jina la Yesu Kristo Amen.

SIKU NJEMA YA AMANI NA USHINDI DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom