....eti unatia huruma huna hata mia 😀
Urogweee tu...aliyeniteka ni mlokole na anasema kabisa bila kuficha nikienda kwa wengine ananiroga.
Je unapenda mimi nirogwe? Nilidhani unanipendaga jameni kumbe hunitakii mema





...sure, utashangaa mimi ndo yule yule unayesemaga nina kitambi cha mataputapu wakati tunakunywa bia pale kwenye makuti.
AmenTUOMBE:
Mtakatifu,Mtakatifu,Mtakatifu ..Bwana Mungu wa Majeshi Asante kwa siku ya leo.
Tunaomba Toba Baba kwa makosa yote uturehemu Ee Baba.
Tunawasamehe wote waliotukosea.
Tusaidie tuzidi kukupenda,kukuheshimu na kukutumikia.
Asante kwa ajili ya watoto wako wa kike na kiume,Asante kwa ajili ya uponyaji wa Mwili na Roho...Tunalihimidi jina lako Takatifu na Sifa,heshima,Shukurani ni kwako Ee Baba Mungu mkuu
Endelea kutupigania Mfalme wa Amani maana tunakutegemea wewe tu.
Endelea kutuponya,kutufariji,kutubariki katika kila eneo.Hesabu hatua zetu na vinywa vyetu vijazwe sifa zako daima.
Bariki kuingia na kutoka kwetu Damu yako Takatifu Yesu Kristo inene mema.
Roho Mtakatifu kaa nasi tufundishe katika kila hatua.Asante Baba
Wasaidie watoto na wajukuu walioanza mitihani leo wakumbushe wasaidie wawe washindi.Asante maana utatenda sawa na mapenzi yako naomba nikiamini katika jina la Yesu Kristo Amen.
SIKU NJEMA YA AMANI NA USHINDI DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE![]()
Karibu sana mrs infoJe wajua au unataka kujua zaidi kuwa nami shunie shunie aka mrs info
Kweliii kabisaWanawake mbioni kupatiwa emoji ya hedhi ambayo itakuwa inatumika kama njia mbadala ya mawasiliano kwenye simu kuonesha kipindi wanacho kipitia pasipo kujisikia vibaya, pia kuondoa aibu pale mwanamke anapotaka kuelezea hali yake kwa mtu mwingine kupitia emoji.
Mpaka sasa Unicode Consortium, taasisi isiyo ya kifedha inayomiliki emoji zote Duniani, bado wapo katika mchakato wa kutafuta emoji itakayofaa kutumika kama alama ya hedhi kwa mwanamke ila upo uwezekano mkubwa emoji yenye uso wa kutabasamu pamoja na tone la damu ndiyo itakayochaguliwa mwaka 2019View attachment 864791
Hahaaa......hii Tz ya sasa bila mkwara unaweza kuendelea tu kuitwa 'mkuu' ha ahahaha
Mie namyweshaga kabisa mdomoni 😀 😀..afu ujue mafuta ya kuviendesha vipeto ni shhhawa , me ndo maana ukikojozi ni ndani kwa ndani hakuna cha mwaga nje au tumia tandomu
Hahaaa...nilienda kukojoa sasa nikakuta mwenye ikulu hayupo nami nilitaka nifanye hivyo akiwepo. Akirudi nistue nikakojoe kwenye bustani
Morng mkiuMorning
Hapo ni mwamba ngoma tena bibie.Mmmhhhh kumbe ana hadi kina mwanahidaya![]()
HauzimiMoto hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiihauzimiiiiiiiiiiiiiiii
makapuku haizimiiiiiiiiiiiiiiii
na moto na uwakeeeeeeeeeeeeeeeeee
View attachment 864797