Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Duh ni jambo jemaNimeshamsaidia chochote nilichonacho Mungu amfanyie wepesi na kumponya kwa magonjwa aliyokuwa nayo
Nitajitahidi kesho au keshokutwa niwe nimetimizaUsijari Mkuu utafanikiwa na utatekeleza ,mm nilikua mbali mno lkn ujumbe wako na mkuu mwingine ulinigusa,ikabidi nipige simu Dar kwa MTU afanye hivi ilivyofanyika
Binafsi nakuombea utimize lengo
