Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Uliuona huu ujumbe lakini Shunie ?Mrs info in the house![]()
Tumsaidie mwenzetu jamaniKwema wadau ?
Nahitaji msaada wa kufungua bima ya matibabu - JamiiForums
Huyu dada ni miongoni mwa wadau wa huu uzi wa mwanzo mwabzo
Kwa bahati mbaya kapatwa na masahibu ya kiafya kiasi cha kuanzisha uzi kuomba msaada....inasikitisha
Wakuu km kuna mtu anaweza kumsaisia amsaidie jamani matatizo hayana mwenyewe maishani huwa yanahamahama tu
Natanguliza shukrani


