Makapuku Forum

Ndo hivyo bitoz mkongwe kanisababishia nikalambwa Ban.
Yani kisa nmemjibu "nmekuelewa mrembo"
Sasa hapo nmefanya kosa gani?
Mkuu kama umeita mtu mrembo na sio mrembo hapo ndo kosa lenyewe. Epukana na watu wanaokulenga wewe badala ya point uliyotoa, ukimjibu vzur anaanza kulia na mods.
Pitia uzi flan wa Bitoz jinsi ya kuinjoi Jf bila shaka upate ka mwanga zaidi
 
Sio kusoma bure...mmwage na likes za kufa mtu
....................................
Jinsi ya kuenjoy JF
.........................................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…