Johnax
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 256
- 940
Hadi utapita kituoAlafu kweli folen na kuchat, sasa wawepo wa kujib ndo ina noga
Mie nipo sana shem.Khaaaa
Leo kapuku's wamechelewa kuamka
Bitoz
youngblood
lizziebettie
Jimena
jambilo
Linamo
Musolin
Th Name
EMMYGUY
Na wengine woteeeee
Senkyuu so machiDuuuu pole sana
Wiki moja ni kubwa asee. Pole sana.Hii inakuwaga siku 7(one week)
![]()
![]()
![]()
![]()
Khaa umemsahau manuuKhaaaa
Leo kapuku's wamechelewa kuamka
Bitoz
youngblood
lizziebettie
Jimena
jambilo
Linamo
Musolin
Th Name
EMMYGUY
Na wengine woteeeee
Ila hakikisha hii avatar uendelee mayo ukifunguliwa kifungoniNdo hivyo bitoz mkongwe kanisababishia nikalambwa Ban.
Yani kisa nmemjibu "nmekuelewa mrembo"
Sasa hapo nmefanya kosa gani?
Jana kwenyewe kukosekana hewani tu ilikuwa ni zaidi ya kifungo cha miaka 10 jelaWiki moja ni kubwa asee. Pole sana.
Nzuri sanaAlaf hii avatar nmeichukulia kwako.
Nmeipenda nkaona ngoja iitupie kwa hapa
Ok, ntakuwa naitumia huku na kuleIla hakikisha hii avatar uendelee mayo ukifunguliwa kifungoni
Imetulia sana
.............
Pole sana kaka.Baaada ya kupigwa BAN sasa nimerudi kivingine.
MAKAPUKU WENZANGU NILIWAMISS SANA..
Ila sasa tuko pamoja
~Jonax
View attachment 346787
Ndo hivyo nmeshakuwa City boy sasaNzuri sana
...............
Kumbe sio ndefu, sasa ole wako uendelee kunibania likes uone kama na mi sisababishi upigwe ban na kwenye hiiHii inakuwaga siku 7(one week)
![]()
![]()
![]()
![]()
Manuu wamelala woteKhaa umemsahau manuu
Maana hamna namna sasaAnd Dadaz
Wakongwe wakauze mapapai
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
KaribuRIP KINYAMBE makapuku
hahahaha umeuwaaaa.Inaonekana wewe ni mlinzi mzuri wa likes zetu humu ndani.
Kumbe sio ndefu, sasa ole wako uendelee kunibania likes uone kama na mi sisababishi upigwe ban na kwenye hii