Makapuku Forum

Makapuku Forum

Miamala hata kama sipo jf si inaingia

Kipindi kile jf imefungiwa tumeahamia KT kwa wakenya nikasema no yako sina nikakumbuka nikupe taarifa nitakupaje imebidi niingie insta nimtumie text pacha wako nikamsalimia nikamwambia akwambie nikachuniwa nikasema huruma yangu masikini imeniponza shunie mm najuta basi angejibu tu hata sawa nikamwambia nikasema nimekoma tena nilituma na link masikini
 
Nimepita leo niwasalie ndugu zangu

Umoja ni nguvu

Ukweli utatuweka huru

Adui wako ni fikira ulizo nazo

Kuamka haimanishi umeshinda salama

Kusoma huongeza marifa ila tafuta vitu vya msingi ndio usome
Nimefurahi kujumuika nanyi

Niwatakie jioni njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom