ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,947
- 13,864
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lakin si unajuaa salama ya leo ni mwendo wa kisiii mpaka shunie aonee wivu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lakin si unajuaa salama ya leo ni mwendo wa kisiii mpaka shunie aonee wivu
Hehehehehehee kumbe ndo ilikuwa safar kwa shoga wake akidaii kafiwa na bwana wake ambaye alikuwa anaishi kwa matumaini ?
yaani " hata 3mzuka hawapendi pesa kiasi kile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mazoea na mke wangu yameanza lini kijana wewe
Ndo mume huyooduuuuhh "....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naupinga kwa nguvu zote
woowww habari shem darling "... waona mdogo wako amenifilisi " sasa hivi ati hanitaki " naona anataka kumfilisi na kaka wawatuShikamoo shemela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mecheka wallahAiseee ngoja nikameze panadol Kwanza... maaana nasikia moyo umeshaanza kukimbia marathon
mmh acha uwongoNdo mume huyoo
Usinitoleee vijinoooo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
hahaha aisee" ngashtukaLaki kila siku alikufanya wewe zuzu wake
Kwan naniShikamoo shemela
Huwa hawaibwi kirahisi haoSasa si nitaibiwa mume moja kwa moja jamani
Uliza kwa majiranimmh acha uwongo
Uzwaza wako wa kupenda chura yangu ndo imekufilisiiiiiiwoowww habari shem darling "... waona mdogo wako amenifilisi " sasa hivi ati hanitaki " naona anataka kumfilisi na kaka wawatu