Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante bunyebunye salaam kapata msukuma mwenzio nipo nae hapa
Ina maana siku hizi una Msukuma shemeji? Yule braza niache kumlinda ama? Sijui hata kama unakumbuka kuwa ulinipa kazi ya ulinzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
[emoji524]"Ulalapo hutaona hofu; Naam, utalala na usingizi wako utakuwa mtamu."

Methali 3: 24

Mungu awatunze usiku huu,Malaika walinzi waweke kituo kila nyumba,Damu Takatifu ya Yesu Kristo itufunike
Usiku Mwema[emoji257][emoji257][emoji257]
 

Attachments

  • Screenshot_20180908-154533~2.jpg
    Screenshot_20180908-154533~2.jpg
    23.2 KB · Views: 20
Ina maana siku hizi una Msukuma shemeji? Yule braza niache kumlinda ama? Sijui hata kama unakumbuka kuwa ulinipa kazi ya ulinzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1550]‍[emoji3603][emoji1550]‍[emoji3603][emoji1550]‍[emoji3603][emoji1550]‍[emoji3603][emoji1550]‍[emoji3603]
He he unataka kuscreenshot eenh ukapost likes eenh na ukipost nitajua tu
 
Back
Top Bottom