Makapuku Forum

Hahhahha kaka chige usitake kunigombanisha na Wick wangu endelea tu na Mzigua90
Ah! Sa we ndo unataka kunigombanisha na Shemeji Wick... kwanza ye mila zetu anazifahamu na anafahamu kulana kwetu sharti kwa hamu! Afu huyo binamu toka kwa shangazi mdogo, huyo Mzigua90 cjui nani cjui!! Yaani anajidai sana cku hizi....
 
Kuna mtu anapajua sehemu wanapouza soda kwa bei ya 100,000/= kwa chupa ? nataka niwapeleke watoto wakapoze koo hii week end baada ya kufunga shule maana wanasumbua hapa Binju kwenye hekalu langu kutwa kuichezea helikopta


....hili hekalu lako ndo kama lile la kwenye sinema za Yesu!? Wanajaa wauzaji na wanunuzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…