Kuna lile lizee la eskro lile,
Lilitoa ahadi hiyo hadi mimi nikapata kuzunguzungu cha ghafla,
Sijakaa vizuri zee jingine likaahidi bei ya mkweche wangu, nikapata maluweluwe ile wamezubaa nikakimbia na ka elfu 50 kangu.
Bichwa kubwa ubongo wa mende
baada ya yeye kununua!?..
Hahahahaha,Mm sitakiwi kujua
Hahahahaha,
Hii siwezi kuitaja hapa kuna pipo zinaweza zikasanua mchongo!
Sura mbayaaa kufa hutakiBichwa kubwa ubongo wa mende
Hahahaha,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wanahaidi mamilioni tu hapo lazima ukimbie tu
[emoji23][emoji23][emoji23] Pledge za nitatoa ***** lakini itaongezeka kadri bwana harusi atavonifurahisha!..Niliwahi kuwa mwanakamati kwenye harusi moja hivi bwana, sasa muda wa mchango ulivyofika.
Wale watu wa kanda ya ziwa wakafanya watu tuogope kuchanga.
Hahaha ikabidi nichukue jagi la maji nijifanya nanawisha mikono wazee!
Ile wamezubaa nilitoka ndukiii
si nilishakwambiaga mwanakamati mkuu alisema tusizionyeshe sana lakini!...Babe la ubahili upunguze basi
[emoji23]😀Hii njemba mimi naifahamu vizuri,..
Huwa haitoagi taarifa ili kueliminate competition.
Unayajua yale mabepari profesheno
Hahahahahahaha,[emoji23][emoji23][emoji23] Pledge za nitatoa ***** lakini itaongezeka kadri bwana harusi atavonifurahisha!..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sura mbayaaa kufa hutaki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha,
Niligeuka manamba wa kamati.
Sitaki tena, sitaki kabisaaaaaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yeye alitaka kupledge elf 50 yake[emoji23][emoji23][emoji23] Pledge za nitatoa ***** lakini itaongezeka kadri bwana harusi atavonifurahisha!..
Hata kwa mm babe wakosi nilishakwambiaga mwanakamati mkuu alisema tusizionyeshe sana lakini!...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahaha,
Jamaa kanisweka kwenye kamati kisa mimi rafiki wa chuo.
Mimi nkapata bichwaa kumbe ananichimbia kaburi, shubamiiit.