AsanteHauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimoto hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
View attachment 859482
SalamaWazima habari yako mrembo

Leo ijumaa anko.....binamu leo juma ngapi, naona tarehe za mshahara zinachelewa sana. Uko poa lakini? Anko wangu hajambo
zinachelewa sana jamani wakati watu tunahamu ya kutolewa out
Hahahaa lipo sana angalia vizuri afu unisaidie nichague nini......oh, mbona swali sijaona?
Morning kapukuMorning makapuku wenzangu!
Heeeeeee hatarii

Kama ni tecno inakuandikiaa free space ,phone is full
ShikamooLeo ijumaa anko..zinachelewa sana jamani wakati watu tunahamu ya kutolewa out
Me sijambo anko hofu juu yako,huyo mwingine muulize mwenyewe
Mm mzmaMarahaba mtoto hujambo
Nimekosea kuitikia unabahati umeshajibuMm mzma
Tuna bilions of terabyte katika miili yetu..
Mie yangu akupe wewe shunie akee!!