Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante aunt yangu mwenyewe, wiki hii Amazon naye kaingia kwenye kundi hili, yaani ni ndani ya siku kama 15 tu amazon kamfuata Apple.
Kumbuka Amazon ni mtoto mdogo sana kwa Apple ila ndo hivyo, Apple kaingia anatembea Amazon kamfuata kwa mbio
Asante binamu yangu shikamoo
 
Asante aunt yangu mwenyewe Shunie kwa 'Je Wajua' unalifanya jukwaa liwe sehemu nzuri kuwepo. Si unalijua hilo eeeh?
na ninakupenda, usijifikirie just sema unanipenda pia Furahiday iwe nzuri, kama kawaida yangu, ofa zangu zinasimama hazibadiriki, kunywa na kula unavyotaka.

Nilifurahishwa na kipengele za michezo zaidi na habari za kiuchumi na hasa Apple mafanikio yake mwaka huu.
Hahhahhaha binamu yangu mm huyo
 
.
Screenshot_20180907-080247.jpg
Screenshot_20180907-080303.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom