Makapuku Forum

Makapuku Forum

Salamu ya shikamoo niliyopata toka kwa binamu ABJ na aunt yangu Shunie nimezipokea kwa unyenyekevu mkubwa.

Kuna jipya jingine labda?

drake-dricki-gif-nicki-minaj-Favim.com-2206805-1438877782.gif
 
Nahisi hakuna, labda wenzangu.

...ukimywa wao kuna mawili, hawana jipya na wamenuna sababu mchana wameshindia mahindi ya kuchoma yenye chachandu ya mbilimbi au ukimya wao wanadhani ipo siku hawatastaafu tuwe tunashiriki nao kwenye vikao vya kudai mafao
 
Back
Top Bottom