Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Maisha yanaenda mbio sana kumbukumbu kumbukizii kama wewe na yule aliyekuletea saa ya mshale .........ha ahahahha, mjomba na wewe husahau bhana, pale si uliniambia nikatest kumpima imani. Mbaya zaidi alijua mimi ndo wewe akafunguka zaidi lahaulalakwata tukajikuta tuko mwambao wa Tanga. Kilichofuata nilikuomba msamaha.
Hivi bado yupo?
Kuwepo yupo japo kujua uwepo wake inahitajiii nguvu ya ziada nafikirii ulijionea mwenyewe timbwiliii lakeee...ila binamu tumetoka mbaliii



101-03-821.M|T|C

