Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Asante kwa magazeti mkuu ubarikiwe
Asante kwa magazeti mkuu ubarikiwe
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Muweka picha usiweke picha ilimradiiiii...
Kanisani mkuu
Shikamooo mdogo wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikuwa sijajiona jamani...[emoji7][emoji7][emoji8]
Asantee The class
Lee umeniona lakini nilivyo msupuu[emoji7][emoji7][emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kumbe ulikuwa hujui,huoni lyon lee anavyoning'ang'ania mimi ni[emoji91][emoji91][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiondio mkuu
Majaribio gani?Unafanyia majaribio kapuku baada ya kujiunga jf eti?
Eeehee umeona sasa kwahiyo kumbe ulikuwa unatafta pa kutokea ee,anko hakukosea na wala hakuwa amelewa unamsingizia mfyuuu
Katafute hata10 ukitaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupa siku 2 atakufata pm na kukushawishii uniacheee ili ikiwezekana uwe na yeye ...ndo kamchezo kakeee
Njema sana, umeamka salama mama JJHabari ya kazi wapendwa ktk bwana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kumbe ndo zakeOh, sasa unataka anko akodi daladala awalete 20 wanaojulikana ukiwaacha masuria kama mfalme Suleiman
Yesuuuuu...[emoji33][emoji33]au shikamoo ya humu kapuku ina maana tofauti[emoji3][emoji3]Shikamooo mdogo wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]