Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Pole sana mkuuUzi ushakua wa ma love love,tusiokua na bebez,ndio tunakua makapuku orijino sasa
101-03-821.M|T|C
Lakini si ipo in luv na ugimbi

Pole sana mkuuUzi ushakua wa ma love love,tusiokua na bebez,ndio tunakua makapuku orijino sasa
101-03-821.M|T|C

Shikamoo kaka ningeSikuwa nalifahamu hilo jirani,,, ni haki yake kukuwekea ulinzi wa nguvu
Sent using Jamii Forums mobile app

Marhaba bintiNikiwa mkubwa nataka kuwa kama huyu
Km ulinitosa jpili ,u nadhani nina hamu tena ,nimepigwa hadi mikwara ,acha tu niwe msomaji mkuu wa comments za watu
101-03-821.M|T|CHazina chochote mkuuHahah kumbe na ww umeshituka eeh,, hz shikamoo za Tumosa ziko na kitu si bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Halua ndo nn binamu mm sijuiMuziki: Halua Haina Makombo
.....nilipata nafasi ya kwenta retreat nchi ya Zanzibar, kama unadhani Znz sio nchi basi sina budi kukusalimia na kukuulizia siku yako ilikuwaje maana Jumanne ina mambo mannemanne, siyo ya mchezomchezo na kisha baada ya salamu naendelea kukuambia kuhusu niliyojifunza huko ugenini kwa wenyeji wa JMT. Nilivutiwa na halua ambayo kama walivyo watu wa aina yangu tukiwa safarini lazima uwe na mwenyeji wa kukuonesha mazingira na sio tabia za anko wangu za kaucha kumbukumbu kila anapokwenda. Nisikuchoshe maana lengo la kipengele hiki ni muziki na si story zangu za kipuuzi.
Muziki sasa, kuna vitu unavila tu havina makombo wala makambo na usisahau kupasha kiporo, ugonjwa wa tumbo haufikii maumivu na mahitaji ya kiuno
...inabidi aweke na wa nguvu za giza, navyomjua anko wangu hashindwi kutafuta ile dawa ya kunasiasa




heh kumbe yupo vzr kwenye mambo hayo,,,wananasiana hadi anawakutaHihihii...inabidi aweke na wa nguvu za giza, navyomjua anko wangu hashindwi kutafuta ile dawa ya kunasiasa
Asante mkuu pole nawe
Marhaba binti mpole,, haujambo?? Siku yako ilikuwaje huko?Shikamoo kaka ninge![]()
![]()
![]()
Kaaaaah....Km ulinitosa jpili ,u nadhani nina hamu tena ,nimepigwa hadi mikwara ,acha tu niwe msomaji mkuu wa comments za watu
Mahela nayalia Kitimoto mixer ugimbi
101-03-821.M|T|C
husahau jaman akati mi nimejishusha kwako,Km ulinitosa jpili ,u nadhani nina hamu tena ,nimepigwa hadi mikwara ,acha tu niwe msomaji mkuu wa comments za watu
Mahela nayalia Kitimoto mixer ugimbi
101-03-821.M|T|C
unaogopa mikwalaSafi sana binti mpole,,uendelee hivyo hivyoHazina chochote mkuu
Ni heshima tuu
Habari yako mkuuKm ulinitosa jpili ,u nadhani nina hamu tena ,nimepigwa hadi mikwara ,acha tu niwe msomaji mkuu wa comments za watu
Mahela nayalia Kitimoto mixer ugimbi
101-03-821.M|T|C
Siku yngu ilikuwa njema kwa kweli

Badamu bakimwagika me simoKaaaaah....husahau jaman akati mi nimejishusha kwako,
Achana na yule usimskilize kwani ye ndo mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawasawa kaka ninge