Shunie anasema utafute shangazi mwingine sio yy
Sawa sawa !Akuuu nenda uangalie wengine mbele huko
Alhamisi anamaliza atakujaNdio..
Naomba aendelee kukaa huko huko hadi amalize mambo ya ibada.
Mwambie nimpenda sana kwa kuchukua huo ushauri wangu.
Much blessings to her.
Anasali..shangazi nae katingwa na nini mwee tunammisi huku jamani,ntamtaftia wapi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja aje akunyooshe yy na baba yko kama ni ndgushangazi nae katingwa na nini mwee tunammisi huku jamani,ntamtaftia wapi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa tutanyooshana safari hiiNgoja aje akunyooshe yy na baba yko kama ni ndgu
Hapoo ushammezeshaa umbeaShunie anasema utafute shangazi mwingine sio yy
Nmeagizwa nmeletee taarifaHapoo ushammezeshaa umbea
Marhaba binti mpole,,, mambo vp?? siku yako ilikuaje huko?Shikamoo mkuu
Mungu mwema,siku yngu ilikuwa na mafanikio
Msalimie pia,, mwambie tumem miss sana
Inapendeza sana,,, Mungu ni mwema kwa kweliMungu mwema,siku yngu ilikuwa na mafanikio