....apewe
Tumosa peke yake, siku hizi nimechonga cheti kipya cha kuzaliwa , yaani miaka yangu Azam youths wanaitamani. Nipewe nafasi sio shikamoo.
Halafu anko, unajua yule mganga wetu yuko jela, alikuwa kumbe anamuingizia mteja wake yule demu wako wa bank dawa kwa kutumia kiungo chake cha siri. Kifupi dullah mganga alikuzunguka