Makapuku Forum

Makapuku Forum

....apewe Tumosa peke yake, siku hizi nimechonga cheti kipya cha kuzaliwa , yaani miaka yangu Azam youths wanaitamani. Nipewe nafasi sio shikamoo.

Halafu anko, unajua yule mganga wetu yuko jela, alikuwa kumbe anamuingizia mteja wake yule demu wako wa bank dawa kwa kutumia kiungo chake cha siri. Kifupi dullah mganga alikuzunguka
nimecheka mpk machozi nyie watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....apewe Tumosa peke yake, siku hizi nimechonga cheti kipya cha kuzaliwa , yaani miaka yangu Azam youths wanaitamani. Nipewe nafasi sio shikamoo.

Halafu anko, unajua yule mganga wetu yuko jela, alikuwa kumbe anamuingizia mteja wake yule demu wako wa bank dawa kwa kutumia kiungo chake cha siri. Kifupi dullah mganga alikuzunguka
Anko nilihisiii mapema na ndo maana nilimshauriii yule bonge wako aendeee kw mganga wetu bila wewe kujua na aliendaa ch kushangaza akarudiii tena nikawa najiuliza utamu kunogewa au ...

Ila yote kumi kile kifaa cha singida na weupe wake kweli umebutuaa biko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom