Makapuku Forum

Shunie ujue sichoki kusema asante kwa Je Wajua, imekaa poa sana na nikwambie kitu, hebu itikia eeeh, sio unanitolea macho kama umeunguza pilau la sikukuu.

Stori ya mapacha wakimya imenihabarisha kitu kipya.
Asante sana.

Kuna jipya ?

Halafu, nje ya mada, eti pugi ndo nini?
 
Abeeeh binamu


Binamu unataka kujua mana ya pugi


Pugi ni mwanaume mwenye tabia za kike kufatilia habari za watu mwanaume mbea mbea mnafki yaaani kushindana na wanawake hizo ndio tabia chache za pugi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…