Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tayari zoezi la uuzaji wa tiketi kwaajili ya mchezo wa NgaoYaJamii2018 limeshaanza hapa kwenye dimba la CCM Kirumba.
Ni SimbaVsMtibwa
Screenshot_20180818-131121.jpg
 
Jioni ya Leo kikosi cha Mabingwa wa Soka Tanzania, Simba SC kinashuka dimbani dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ngao ya Jamii.

Mchezo huu utachezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuanzia majira ya saa 10:00 jioni.

Kila la heri mnyama yangu mm
Screenshot_20180818-131352.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom