Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Shikamooo mkuuUmemsababishia mwenzio matatzo
Shikamoo binamuWikend njema wadau wa nguvu
TUOMBE:
ASANTE BABA kwa siku ya leo tunaomba Toba kwa yote ambayo tumeenda kinyume na mapenzi yako uturehemu twakusihi.huruma yako iwe juu yetu.
Siku ya Leo Tunaomba Tuongoze,Tusimamie,
Tubariki,Tuponye na utupe Muda wa kukutafuta kwa bidii na kutafakari matendo yako makuu kwetu.Roho Mtakatifu kaa nasi
Tufundishe,Tukumbatie Mfalme wa Amani.Tunaomba yote kwa jina la Yesu Kristo Amen
JUMAMOSI NJEMA YA BARAKA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTU ITUFUNIKE![]()

Shikamooo dada wa mioto
Asantee mama la mama shunie wangu kipenzii kwa magazetiiii ....![]()
![]()
![]()
![]()
kama yote
![]()
![]()
![]()
![]()
unapendwaa piaa
Shikamoo binamu
Msalimie mtekaji wkend ndo hii


































Shikamooo dada wa mioto
Jamani ndio unaamka