Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Wouzeeeer wouzeeerr hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiishunie.....
hauzimiiiiiiiiii
hahaaa ww dada unanifurahishaga sana.









































ndiwoooo mbona haonekani sasa kazidiwa




Umemsababishia mwenzio matatzo
Umemsababishia mwenzio matatzo

















Atakuwa huku namjaza huku anajiziba chini
TUOMBE:


Binamu shikamoo naona ndio unarudi sasa usilale kwanza nakuwekea magazetiWikend njema wadau wa nguvu
Anko salamWikend njema wadau wa nguvu
AmeeeenTUOMBE:
ASANTE BABA kwa siku ya leo tunaomba Toba kwa yote ambayo tumeenda kinyume na mapenzi yako uturehemu twakusihi.huruma yako iwe juu yetu.
Siku ya Leo Tunaomba Tuongoze,Tusimamie,
Tubariki,Tuponye na utupe Muda wa kukutafuta kwa bidii na kutafakari matendo yako makuu kwetu.Roho Mtakatifu kaa nasi
Tufundishe,Tukumbatie Mfalme wa Amani.Tunaomba yote kwa jina la Yesu Kristo Amen
JUMAMOSI NJEMA YA BARAKA DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTU ITUFUNIKE![]()
Asantee mama la mama shunie wangu kipenzii kwa magazetiiii ....
kama yote