Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Hahahaha aisee,, sina uhakika kama ni kweli bhnaKwa papuchino [emoji85][emoji85][emoji85][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

[emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16]Papuchiiiiiiiiiiiii jamani haya furahini
Hahaha sasa hv tunaenda sawa mkuuMe tena[emoji3][emoji3]kama chattle tu imenitoa jasho
[emoji16][emoji16][emoji16]eti eeEwaa,,, limesound poa sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Papuchiiiiiiiiiiiii jamani haya furahini
Hawa wa mjini wana viswahili vyao hawa,, unaona kama hapo tulikuwa tumepotezwa [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha poa poaa mkuuHahaha sasa hv tunaenda sawa mkuu
Mkuu kwemaMuziki: Tutajuana Tu
...usiwe na wasiwasi na kichwa cha habari, utamu uko kichwani na ndo maana hata kumuua nyoka unapiga kichwa na wengine ukimlamba kichwa ndo unamkasirisha vita yake haitanipa hata nafasi ya kukusalimia wewe Kapuku unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Asante sana aunt yangu Shunie kwa kuweka magazeti na Je wajua, ukweli ni kuwa, muungwana ni jadi yake kushukuru (acknowledge) mazuri yanayofanywa na mmoja au wengi. Nami nafanya hivyo kila muda nikipata nafasi.
Ninajua kabisa, ungeweza kuweka mabandiko yako sehemu nyingine na ama kuanzisha uzi kuzihusu, lakini umetupa heshima Makapuku kuzisoma kwanza na ndiyo maana hapa panakuwa ni pazuri kuwepo kwa sababu wadau wa ukweli wanakuwepo hapa. Utofauti wa MF na majukwaa mengine ni kuwa hapa ni kama bahari, maarifa, burudani na sogozi zinapatikana, ni muda wako tu.
Muziki sasa, nisikuchoshe ila nikukumbushe tu kuwa kesho ni Jumatano, kama huna kalenda sema asante..
Mkuu kwema
salama kabsa mkuu,, mishemishe vp huko...kwema sana mdau, wewe shwari hapo?
Wewe leo umekaa ki jokes jokes tu. Mi niko seriousKuwa serious basi
Hahahaha aisee,, sina uhakika kama ni kweli bhna
Wouuuuzeeeer wouzeeeerr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] binamu santeeeMuziki: Tutajuana Tu