Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Habari yako mkuu
Oooyyyy ooooyyyy ooooy
Oooyyyy ooooyyyy ooooy
Toka SAA 8 mchana niko kwa Shayo, sijaona MTU kuja hapa ,vipi ,mko makazi bado au ndio vyuma vimekaza?
Wewe leo umekaa ki jokes jokes tu. Mi niko serious
Nipo kwa shayo hivoToka SAA 8 mchana niko kwa Shayo, sijaona MTU kuja hapa ,vipi ,mko makazi bado au ndio vyuma vimekaza?
Mbn sikuoni?uko sehemu ganiNipo kwa shayo hivo
Hapa kwenye kona ya siku zote karibu na kaunta, mezani kuna glass ya juice tu na sio maji ya dhahabuMbn sikuoni?uko sehemu gani
Sawa nakuja nishakuona,ngoja nimalizane na huyu jamaaHapa kwenye kona ya siku zote karibu na kaunta, mezani kuna glass ya juice tu na sio maji ya dhahabu
SawaaSawa nakuja nishakuona,ngoja nimalizane na huyu jamaa
Agiza tu usihofu, bill atanipaSawaa
WouzeeeeeerrrWoyoooooo
Niagizie kwenye gari mkuuMarahaba... hujamboo? Nimetoka Chalinze, nimekubebea MHOGO, sijui ntakukuta wapi?
Ili tugundue nnBasibadilisheni jina
Ww ni kibibi gagulaKweli jamani muulize tumosa akija ananijua
Huku magari yote ni ya Mkaa!Niagizie kwenye gari mkuu