Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
Shunie hauzimi[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji23]Kuna niniiiiii
Shunie hauzimi[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji23]Kuna niniiiiii
Shunie hauzimi[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji23]
Heri Ya Siku Ya Kuzaliwa ObamaLeo ni Kumbukumbu ya Siku ya kuzaliwa Rais Mstaafu wa Awamu ya 44 Nchini Marekani Barack Hussein Obama , Anatimiza Miaka 57 Tangu alipozaliwa Huko Honolulu, Hawaii - Marekani na anatimiza Miaka Hiyo akiwa ni Rais wa Kwanza Mwenye asili ya Africa Kuongoza Taifa hilo Kubwa Duniani.
View attachment 827009
Za kwako ShunieAbeeh mkushi
Hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 827011
Za kwako Shunie
Wamelamba Jike watapigwa Goal hadi wakome ....Jamaa Sio Kocha BoraClarence Seedorf ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Cameroon [emoji1062] akiwa anasaidiwa na Patrick Kluivert.
:
Urefu wa mkataba wa Seedorf na mabingwa wa mara tano wa AFCON, utatangazwa baadae.
.
Seedorf, 42, ambaye amewahi kuvifundisha vilabu vya AC Milan, Shenzhen na Deportivo La Coruna.
Alidumu kwa miezi 6 tu katika kila timu. :
Seedorf, ambaye anachukua nafasi ya Hugo Broos, na atakuwa na angalau mwaka mzima kuiandaa timu kabla ya mashindano ya AFCON 2019.View attachment 827013
Mzima kabisa ....
Hauzimi [emoji91]
Wamelamba Jike watapigwa Goal hadi wakome ....Jamaa Sio Kocha Bora
Afunge magoli sio kubadili Jezi tuMshambuliaji wa Chelsea Álvaro Morata kuanzia msimu ujao atavaa jezi namba 29 badala ya namba 9 aliyokuwa anavaa mwanzoni.
Jezi namba 29 ina maana kubwa Kwa mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Hispania kwani tarehe 29 July ni siku ya Birthday ya watoto wake mapachaView attachment 827016
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afunge magoli sio kubadili Jezi tu