Khaaa mbalizi kumbe ni baba mchungajiHatujambo baba mchungaji
Pole na kazi ya kuchunga kondoo wa bwana![]()
![]()
![]()
![]()
ShikamoooooMy people nimewamiss sana,muwe na wikiend njema
NdiwoooooKhaaa mbalizi kumbe ni baba mchungaji
Tupo hapahapa makapuku mkuu***** ndio nafufuka/naamka ,tuambiane mpo wapi ,tuliendeleze gurudumu
Kuna niniiiiiiMkujeeeee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Shikamooo
Nmewaita mje kulisonbesha jukwaa hapa
@Tetramylez hivi bado yupogo?
Tuko poa
Cha bangii shunie yuko wapi
![]()
![]()
![]()
![]()
kalala bado
Tokea adange kwa lijamaa la jamaica sijui binamu yake Marley kichwa chake anakijua yy
HallelujahMungu ni mwema saana kila wakati
My people nimewamiss sana,muwe na wikiend njema
Ila wewe ni chapombe jamani khaaa***** ndio nafufuka/naamka ,tuambiane mpo wapi ,tuliendeleze gurudumu