Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Ndio nmemuambia kuwa umelalaNilikuwa nimelala
Ndio nmemuambia kuwa umelalaNilikuwa nimelala
Nipeni mahela basi jamaniHebu kaa hapa jukwaani tulinde wote![]()
![]()
![]()
Ngoja tukakabe mtaani huko labda tutapataJichangeni basi mnipe mahela jamani
Me nayatoa wap kwa mfanoNipeni mahela basi jamani
Ngoja tukakabe mtaani huko labda tutapata
Me nayatoa wap kwa mfano
Hahaha, Rafiki bana ,tunachangia pato la taifaIla wewe ni chapombe jamani khaaa
Rafiki umenifurahisha kumbe nawe mdau wa habari za Central Africa na maziwa makuu.Kiongozi wa upinzani nchini Kongo, Jean Pierre Bemba amerudi nyumbani leo, baada ya kukaa kwa takribani muongo mmoja akiwa kifungoni na nje ya nchi ya Kongo.
Bemba alifutiwa mashataka hivi karibuni na mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai ICC, aidha ameonesha wazi nia yake ya kugombea Urais nchini Demokrasia ya Kongo.
Alishindwa katika uchaguzi wa mwaka 2006 dhidi ya Rais wa sasa Joseph Kabila ambaye muda wake umeisha tangu mwaka 2016, jambo ambalo bado linaleta maswali mengi kama ataogombea tena.
Je, kurejea kwa Bemba kutaleta mabadiliko ya kisiasa nchini DRC?View attachment 826976
Hahaha, Rafiki bana ,tunachangia pato la taifa
Rafiki umenifurahisha kumbe nawe mdau wa habari za Central Africa na maziwa makuu.
Usitafute kisingizio cha kumkimbia muhudumu wa watu ebu lipa
Nashukuru n safiUmeamkaje