Tuko poaMmeamkaje wapendwa
Hebu mkuje hapa
Niko hapa....
Huyu ashapigwa talaka 5
Karibu sanaNiko hapa....
Hatujambo baba mchungajiAsante
Mko poa ww na wana?

Tokea adange kwa lijamaa la jamaica sijui binamu yake Marley kichwa chake anakijua yy![]()
![]()
![]()
![]()
kalala bado
Mungu ni mwema saana kila wakatiHatujambo baba mchungaji
Pole na kazi ya kuchunga kondoo wa bwana![]()
![]()
![]()
![]()
Nipo hapa mm nioneee binamuKaribu sana
Kwani kuna habari gani
Ata kama wanasema more you use your body part more become stongest ila anko kazidishaaaaWeekend leo umesahau huwa anatekwa![]()
![]()
![]()