Kuku nimenasa kwenye tenga sina pupa mm niwako
Ungejua sisemi silali kwakovile sihem wewe ni kiboko yangu
Mahabuba nyongo mkalia INI
Sinaga mwingine baba, nyongo mkalia INI
Shida yangu kukuona mzima baba njaa sio tatizo
Kama shida tumezoea sana baba tangu enzi hizo
Wache wapark wamarange nimependa bodaboda iyee eh
Ongeza mapenzi sitakuja kukumwaga baba eehh
Chai kwa andazi wala sinaga shida iyeee ehh
Uniletee boga ninapomisi burger iyee ehh
Japo wengi wanaumia wakituona ng'aring'ari
Wanataman furaha yetu hawapendi kushuhudia
tunavizidi kwenda mbali wanataman furaha yetu
Majuto majuto ni Mjukuu nikikuacha
Ndo mwisho nitachekwa na watu nitaumbukaa
Wouzeeerrrrr binamu santeeee