Njoo unipokee hapa nje
Nakuja baba JJ
ThubhulalileBhujiku mwaka
Bhujiku mwaka
...ha hahaha, haha, anko tuendelee na mambo yetu, sasa aunt ndo kaula utawala tayari kawa DC , utaweza kweli kumuacha CD kwa yale madikodiko anayokupa maana tulipoenda wote ile nyama nadhani iliungwa kwa mafuata ya mchicha, ilikuwa laini sana na madikodiko kibao, ndo maana unapotea anko si bure
Muulize anko wakoNdio lugha gani tena hiyo
...tubhusangele!
Muulize anko wako
Muulize anko wako
Binamu jamani na ww unajua kumbe
Anko binamu unaweza kuwa siliasiii kidigo kwenye hili ...make wanasema na hili litapita mengine baki nayo moyoniii ankaliiii ....ha hahaha, haha, anko tuendelee na mambo yetu, sasa aunt ndo kaula utawala tayari kawa DC , utaweza kweli kumuacha CD kwa yale madikodiko anayokupa maana tulipoenda wote ile nyama nadhani iliungwa kwa mafuata ya mchicha, ilikuwa laini sana na madikodiko kibao, ndo maana unapotea anko si bure
...haijui lugha ya kitaifa? Mgeni hapa mjini huyu atakuwa
...yeah, naijua sana ila imenipa mashaka inawezekana huyu aliyeisema ni mtu ambaye age yake imeenda sana, ni maneno hutamkwa na watu umri umeendaenda
Anko binamu unaweza kuwa siliasiii kidigo kwenye hili ...make wanasema na hili litapita mengine baki nayo moyoniii ankaliiii .
Alafu bwana sikujua kama atanibipuuuu kapiga kabisa na mm nikamwambia yanasemwa mengi akasema wkend zamu yangu...umewaza nn hapo kwenye zamu etiii
Kuku nimenasa kwenye tenga sina pupa mm niwako...sijaona video clip yake, like real video clip sio hii.
Hii hapa, naamini utaipenda