Makapuku Forum

...hadi leo sijaelewa kwa kweli, kila siku nagugo ili nielewe lakini bado tu. Kichwa changu kina shida mahali au unasemaje wewe kwa mfano
Hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
..shukrani mdau, kwanza ulipotelea wapi kaka maana siku zimepita sio popote hapa huonekani hadi watu wakaanza kuzusha wewe ndo ulimchukua yule dog wa polisi (wataunganisha matukio, dog kaonekana na wewe umerudi? Ulimpeleka mafunzoni?
Haaaaahaaaa
 
Anko kwa hiyo maswali yako ulitegemea niyajibu kweliii yalivyo magumu au ??

Haya mambo wengine tunasema wacha movie isonge mbeleeeee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Anko kwa hiyo maswali yako ulitegemea niyajibu kweliii yalivyo magumu au ??

Haya mambo wengine tunasema wacha movie isonge mbeleeeee

...ha hahaha, haha, anko tuendelee na mambo yetu, sasa aunt ndo kaula utawala tayari kawa DC , utaweza kweli kumuacha CD kwa yale madikodiko anayokupa maana tulipoenda wote ile nyama nadhani iliungwa kwa mafuata ya mchicha, ilikuwa laini sana na madikodiko kibao, ndo maana unapotea anko si bure
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…