Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nisamehe mkuu wangu sitarudia tena

giphy.gif
 
KIPI KIMEKUPITA LEO ??

1.Hobby kudesa class ???

Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa hakuna mbwa yoyote wa jeshi hilo aliyepotea kama ambavyo imekuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari, bali mbwa anayejulikana kwa jina la Hobby aliyedaiwa kupotea yupo kikosini akiendelea na majukumu yake na kipindi anatafutwa alikua class akiongeza maarifa
-%20CloudsDigitalUpdates%20_%20Dar%20es%20salaam.%20%20Msemaji%20wa%20Jeshi%20la%20Polisi%20nc...jpg
 
KIPI KIMEKUPITA LEO ??

1.Hobby kudesa class ???

Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa hakuna mbwa yoyote wa jeshi hilo aliyepotea kama ambavyo imekuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari, bali mbwa anayejulikana kwa jina la Hobby aliyedaiwa kupotea yupo kikosini akiendelea na majukumu yake na kipindi anatafutwa alikua class akiongeza maarifaView attachment 824573
Hobby ana hobbies na masomo,msongo sana
 
2.mwendelezo wa maagizo kutoka kwa mh...

Siku moja baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola kumtaka Mbunge wa Kigoma Mjini zittokabwe kujisalimisha polisi akidaiwa kufanya mkutano nje ya jimbo lake na kutoa matamshi ya uchochezi, jeshi hilo limesema tayari limefungua jalada la uchunguzi kuhusiana na tuhuma hizo....
 
KIPI KIMEKUPITA LEO ??

1.Hobby kudesa class ???

Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa hakuna mbwa yoyote wa jeshi hilo aliyepotea kama ambavyo imekuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari, bali mbwa anayejulikana kwa jina la Hobby aliyedaiwa kupotea yupo kikosini akiendelea na majukumu yake na kipindi anatafutwa alikua class akiongeza maarifaView attachment 824573
Mbona wamechukua muda mrefu sana kutujulisha, au hayo mafunzo yalikuwa ni ya siri sana na wairi hakupaswa kujua? Hii inasema nini (significance) je waziri kwa IGP ni mchumba tu? Maana yake ni kuwa waziri wa mambo ya ndani hana nguvu ya kumuamrisha IGP na hili lazima wengi mfahamu, IGP au CDF ni mawaziri juu ya mawaziri wanaoteuliwa.

Anko, siasa ngumu hii, Lugora anajua kabisa hana uwezo wa kumuamuru IGP
 
2.mwendelezo wa maagizo kutoka kwa mh...

Siku moja baada ya Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola kumtaka Mbunge wa Kigoma Mjini zittokabwe kujisalimisha polisi akidaiwa kufanya mkutano nje ya jimbo lake na kutoa matamshi ya uchochezi, jeshi hilo limesema tayari limefungua jalada la uchunguzi kuhusiana na tuhuma hizo....

...ha hahahahah, waziri atapata tabu sana, hzi tabia za micro-managing zitamuaibisha.
 
3.mkulu katema cheche

Siku chache baada ya kuwateua wakuu wa mikoa na wilaya na makatibu katika kulitumikia taifa mkuu leo kaibuka na kusema hata wale wanaotoka chama pinzani ndo hao hao atakaotumia katika safu yake ya upigajii kaziii ....unachukua silaha za adui unazitest kwanza
 
Muziki: Anko Karudi, Aunt Kawa DC

...ni Jumatano leo, kama ulikuwa hujui, kama hujamuona basi angalia hapo juu, huyu ndo anko wangu mwenyewe mzee nyumba nyingi na sifa zake nyingine nzuri zinajumuisha kulipa kodi kwa uhalali na hapo sasa ndo nakusalimia kapuku wewe unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Muziki sasa, hata sijui niandike nini kuhusu muziki, itoshe tu kukuacha uburudike na muziki huu

4.majiji kushushwa
1/2 ... Rais Magufuli atishia kuyashusha hadhi majiji yasiyoweza kukusanya mapato. Ashangazwa na Dar es Salaam, asema "Hapa Dar es Salaam kuna upigaji, tena mkubwa tu, lakini viongozi wapo..."
IMG_20180801_202804.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom