Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
ni kweli umekuwa mama mchungaji??Eenh sema kweli
ni kweli umekuwa mama mchungaji??Eenh sema kweli
ni kweli umekuwa mama mchungaji??
AnakujaNmemmiss![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ila nimeona kule juu umeitwa mama mchungaji nawe ukaita baba mchungajiHapana jamani
mamie kunanini tena humu ..heheeee nahisi harufu ya neema aiseeee
Nadhani Bitoz atakua kamficha...Hivi Jimena wangu yuko wapi jamani ???
Popote pale alipo naomba anitafute
Dada Vinci upo huku ?Nadhani Bitoz atakua kamficha...
Kwa humu Jf hapatikaniHivi Jimena wangu yuko wapi jamani ???
Popote pale alipo naomba anitafute
Wee jamaa kama Kakakuona vile unaonekana kwa msimu......Dada Vinci upo huku ?
Maana huzi nilikuona sehemu na avatar yako ya kike
Jimena labda kabadili ID maana last seen yake ni ya zamani sana
Tangu jumamosi nipo humu Jf kwani hujaniona kule intelligence ?Wee jamaa kama Kakakuona vile unaonekana kwa msimu......
Ahaaa unaisema ile Avatar ya Sho Madjozi , nampenda tu huyu binti ndo mana nilimweka.
Jamani mbalizi ni baba mchungaji mama mchungaji alikuwa sakayo kwahiyo ndio akaniitaila nimeona kule juu umeitwa mama mchungaji nawe ukaita baba mchungaji
napita
Nimeona posts zako mbili kule...Tangu jumamosi nipo humu Jf kwani hujaniona kule intelligence ?
Wiki hii nipo huru ila napatikana zaidi mitaa ile
Zipo 3Nimeona posts zako mbili kule...
Congrats.. mkuu
Anza kuandika na makala maana kipaji unacho mkuu.Zipo 3
Ila kwa nyie mliokuwa mnafuatilia zirme "Top ten" kwenye hii thread kwenu sio habari mpya
Makala ndefu siwezi kuziandika sababu zinagharimu muda mwingi halafu hapa Jf tunaandika tu kama "kujitolea" u kujifurahisha ....Anza kuandika na makala maana kipaji unacho mkuu.
Ndio ivo mkuu andika tu just kugawa kile ulichonacho. Huwez jua Mungu huupa mkono unaotoa.Makala ndefu siwezi kuziandika sababu zinagharimu muda mwingi halafu hapa Jf tunaandika tu kama "kujitolea" u kujifurahisha ....