SHIKAMOO
shukurani hutoka kwa mtu alieridhika na alicho patiwa iwe kitu au maelezo
Lawama hutoa mtu alie feli kufanikisha jambo kwa uzembe wake mwenyewe
Kuelewa huelewa mtu alie makini kusikiliza na kuyatafakari aliyo sikiliza
Kushindwa ni dalili za kufanya unajua kumbe hujui
Kuheshimu hutokana makuzi uliyo pewa nyumbani toka ukiwa mdogo
Dharau humkaa mtu mwenye makuzi mabovu aliyo yapata nyumbani kwao toka mdogo
Kufanikiwa bi moja ya hatua ya utulivu na uvumilivu wa kila jambo unalo lipitia
Kushiba ni dalili ya ufanisi wako kimaisha
Kulala njaa ni ujinga ulio jivisha mwenyewe
Niwatakie jioni njema makapuku wenzangu
Shunie
Tumosa
Obe
Da'vinci
Shululu
Nyagei
Dingi mtoto
Mzee wa kungoa
Mbalizi1
Archduke
Sakayo
Na wengine wengi ambao sijawakumbuka kwa majina
Mungu awabariki